face
home(nyumabani) \ vishahidi \ HII NDIO NJIA \ Manabii ni watu bora zaidi.

Manabii ni watu bora zaidi.

" “Baadhi ya yaliyopotoshwa juu ya Mitume ya Allah na manabii inataja kuwa walilewa, au kuangukia katika uzinifu, au kuamrisha kuwa watu ni yote hayo ni upotofu mbayo haifai na hailingani na watu wenye tabia za juu mbali ya kuwa wao ni watu waliokuwa bora zaidi…. Wao ni Manabii wa Allah, katika hayo ni yale yaliyokuja – katika Taurati kuhusu Dawudi (‘Alayhi Salaam) (Samweli (2) 11/2-26) na kutoka kwa Yoshua bin Nuun (mwana wa Nuni) (‘Alayhi Salaam) (Yoshua 6/24) na kutoka kwa Musa (‘Alayhi Salaam) (Hesabu:31/14-18) Musa (‘Alayhi Salaam), na mengine mengi yasiyokuwa hayo hayafai Mtume wa Allah.” "

-------------

-------------

-------------

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi