face
home(nyumabani) \ vishahidi \ JE, MWANADAMU ANA HAJA YA DINI? \ Matabibu wenye kutoa mawaidha. (Henry Ford)

Matabibu wenye kutoa mawaidha.

" “Kwa hakika matabibu wa nafsi ni watu wenye kutoa mawaidha kwa njia mpya; Kwani wao hawatuhimizi dini kwa sababu ya adhabu ya motoni huko akhera, bali wao hutuusia kushikamana na dini ili tusipate adhabu ile ile ya moto hapa duniani, kama vile moto wa vidonda vya tumbo na msongo wa nafsi na wendawazimu.” "

Henry Ford

Mwanzilisi wa Shirika la Ford la Magari Marekani.

Henry Ford

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi