face
home(nyumabani) \ vishahidi \ NJIA IKO WAPI?! \ Furaha ya Kweli (Lauren booth)

Furaha ya Kweli

" “Hivi sasa ninaishi katika uhalisia na sio katika haiba ile ya udanganyifu ambayo tunaishi katika maisha yetu ya sasa. Maada, matumizi yetu, na maingiliano yetu na jinsia nyingine pamoja na matumizi ya mihadarati. Vyote hivi ni vinavyotupa furaha lakini kwa sasa nimeona Ulimwengu uliojaa furaha na uliojitosheleza kwa upendo, matarajio na amani. "

Lauren booth

Mwanaharakati wa haki za binaadamu wa Uingereza.

Lauren booth

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi