face
home(nyumabani) \ vishahidi \ NJIA YA ELIMU NA USTAARABU \ Mafanikio ya Kielimu (Prince Charles)

Mafanikio ya Kielimu

" “Uislamu umepata mafanikio makubwa ya kielimu zaidi ya karne nane: Hivyo basi ni makosa kudhania kuwa Uislamu ni kunakili Ustaarabu tu. Au kuwa ustaarabu mpya ni wa Magharibi kwa vile umekamilika. Uislamu una fadhila kubwa katika kuweka kanuni za awali ambazo zimepelekea mafanikio hayo.” "

Prince Charles

Mwanamfalme wa Uingereza

Prince Charles

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi