face
home(nyumabani) \ vishahidi \ NJIA YA FURAHA \ Dini ya Karama na Tabia Njema. (F. Mosey)

Dini ya Karama na Tabia Njema.

" “Ni kwa sababu hii ndio nimechagua Uislamu ili ndani yake nipate raha. Na nimeukumbatia Uislamu ili nipate hisia na kufahamu kuwa nimechagua dini ambayo haitofautishi baina ya kiwiliwili, roho, na nafsi, inanitosha kuwa Uislamu ni dini nadhifu inasukuma kwenye tabia njema na kujipamba nayo na kwenye karama na kushikamana nayo. Kwa ajili hiyo nimeshuhudia kuwa hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Allah na Muhammad ni Mtume wake na juu ya hilo nitakutana na Mola wangu.” "

F. Mosey

Mwanafikra wa Kifaransa.

F. Mosey

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi