face
home(nyumabani) \ vishahidi \ NJIA YA FURAHA \ Imani na Babaiko Havikutani (William James)

Imani na Babaiko Havikutani

" “Mawimbi makali ya bahari kamwe hayaathiri utulivu wa chini ya bahari. Wala kuathiri amani yake, vivyo hivyo mtu ambae imani yake imezama kwa Mungu kikweli ameepukana na babaiko na atahifadhi mizani yake, na atajiandaa wakati wote kupambana na matatizo yoyote yanayoweza kuletwa na masiku huko baadae.” "

William James

Mwanafalsafa wa Kimarekani.

William James

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi