face
home(nyumabani) \ vishahidi \ NJIA YA FURAHA \ Neema ya Uislamu. (Marshila Michelangelo)

Neema ya Uislamu.

" “Hakuna neema kubwa miongoni mwa neema za dunia ambavyo mwanadamu ananeemeka nayo mtu kuliko Allah kumfungulia mtu kifua chake kwa ajili ya Uislamu, na akaongoka kwa nuru yake hadi akaona hakika za duniani na akhera hivyo mtu akaweza kutofuatisha baina ya haki ya batili, na baina ya furaha na huzuni na mashaka. Nami namsujudia Allah na kushukuru neema hii tukufu aliyonipa, neema ambayo imejaza furaha ndani ya nafsi yangu na kunipa fursa kuwa chini ya kivuli cha mti huu mkubwa wenye matawi yenye vivuli na matunda (mengi), nayo ni mti wa familia ya Kiislamu na udugu katika Uislamu.” "

Marshila Michelangelo

Mwanadada wa Kitaliano aliyesilimu.

Marshila Michelangelo

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi