face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Katika wakuu wa watu (Miongoni mwa watu mashuhuri). (Michael Hart)

Katika wakuu wa watu (Miongoni mwa watu mashuhuri).

" “Muhammad alikuwa ni mtu wa pekee katika historia aliyefanikiwa kwa njia bora zaidi katika viwango vyote vya kidini na kidunia. Kwa hakika mkusanyiko (muunganiko) huu wa pekee ambao hauna mfano kwa ajili ya taathiri ya kidini na kidunia pamoja, linamfanya kuwa mtu mwenye haiba tukufu zaidi yenye taathira katika historia ya mwanadamu.” "

Michael Hart

Mwandishi wa Kimarekani.

Michael Hart

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi