face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Kitabu Chenye Kukusanya (Sydney Fisher)

Kitabu Chenye Kukusanya

" “Kwa hakika Qur-aan ni kitabu cha elimu, malezi na utamaduni, haina maana kwamba yote yaliyomo ndani yake ni maneno kuhusu faradhi za Swala na Ibada. Mambo mema ambayo Qur-aan inahamasisha Waislamu mambo mema kabisa katika mizani ya maadili mema. Muongozo wa kitabu hiki unaonekana zaidi katika makatazo yake, kama yalivyo wazi katika maamrisho yake pia.” "

Sydney Fisher

Profesa katika Chuo Kikuu cha Ohio-Marekani.

Sydney Fisher

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi