face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Kitabu cha Mwisho Kuteremka (Washington Irving)

Kitabu cha Mwisho Kuteremka

" “Hapo kabla Torati ndio iliokuwa muongozo kwa watu na msingi wa tabia zao. Hadi alipodhihiri masihi Wakristo walifuata mafundisho ya Injili. Kisha ikaja Qur-aan na kuchukua nafasi zao. Qur-aan ilikuwa ni pana zaidi na yenye maelezo zaidi kuliko vitabu viwili vilivyoitangulia kama Qur-aan ilivyoweza kusahihisha uzushi yaliyoingizwa kwenye vitabu vilivyotangulia. Qur-aan imekusanya kila kitu, imekusanya sheria na kanuni zote. Kwani hicho ndicho kitabu cha mwisho kutoka mbinguni.” "

Washington Irving

Mustashrik wa Kimarekani.

Washington Irving

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi