face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Maneno ya Mwenyezi Mungu. (Deborah Potter)

Maneno ya Mwenyezi Mungu.

" Nilipomaliza kusoma Qur-aan nikajawa na hisia kuwa hii ndio haki ambayo inakusanya majibu toshelevu kuhusu maumbile na mengineyo. Kadhalika hutupa matukio kwa njia ya mantiki ambayo tunaona yakigongana na vitabu vingine vya dini. Ama Qur-aan inayazungumzia kwa njia nzuri yenye kupendeza ambayo haiachi fursa ya mtu kutia shaka kuwa huu ndio ukweli, na ya kuwa maneno haya bila ya shaka ni ya Mwenyezi Mungu. "

Deborah Potter

Mwandishi wa Kimarekani

Deborah Potter

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi