face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Ni tengenezo la Mwenyezi Mungu. (Aldo Mieli)

Ni tengenezo la Mwenyezi Mungu.

" “Katika zama ambazo nchi nyingi zilianguka, nchi ambazo hapo kabla zilikuwa sehemu ya utawala wa –Ufalme wa kale wa Diocletian. Ghafla katika moyo wa majangwa ya Arabia aliibuka mtesi (utesi). Ufalme ule uliochoka ukawa unafuatilia mtesi Yule kama kwamba ni ufalme mpya ambao ulikuwa unaibukia Magharibi. Uadui huu ulikuwa unapanuka siku hadi siku machoni mwa watu. Na ulinzi wa Mwenyezi Mungu ndio ambao daima ulikuwa ukiwaongoza askari wale wakweli na waaminifu kuelekea kwenye jihadi na ushindi mkubwa. Ushindi ule ulipelekea kufunguliwa kwa Syria na Misri, na baada ya hapo ufalme wa Wasasani wakaingia katika mazungumzo na Wakonstantini wakitishiwa na muelekeo ule (wa ushindi wa Waislamu).” "

Aldo Mieli

Mustashrik wa Kifaransa

Aldo Mieli

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi