face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Qur-aan na Hadithi bega kwa bega. (Jack Rislow)

Qur-aan na Hadithi bega kwa bega.

" “Qur-aan ina kamilishwa na hadithi ambazo ni mtiririko wa maneno yanayofungamana matendo ya Mtume Muhammad (Swala Llahu ‘Alayhi Wasallam) na maelekezo yake. Katika hadithi mtu anapata yale yote yaliyokuwa yakitokea kwa Mtume (Swala Llahu ‘Alayhi Wasallam). Ni kipengele cha msingi katika tabia zake mbele ya hakika zenye kubadilika katika maisha. Hivyo basi Sunnah ndio yenye kubainisha Qur-aan wala haijitoshi peke yake.” "

Jack Rislow

Mustashrik wa Kifaransa.

Jack Rislow

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi