face
home(nyumabani) \ vishahidi \ UJUMBE UNAOBAKIA \ Uislamu wa Kilimwengu. (Laura VecciaVaglieri.)

Uislamu wa Kilimwengu.

" Kwa hakika aya za Qur-aan ambazo zinaashiria kwenye Uislamu wa Ulimwengu kwa wasifu wake kuwa ni dini ambayo Mwenyezi Mungu amemteremshia Nabii wake kuwa (Rehema kwa Walimwengu): Huo ni mwito wa moja kwa moja kwa Ulimwengu wote. Hii ni dalili ya wazi kuwa Mtume alijua kwa yakini yote kuwa ujumbe wake umekadiriwa kuvuka mipaka ya Ummah wa Kiarabu, na kuwa ni juu yake kufikisha neno jipya kwa watu wanaonasibika na jinsi tofauti wenye kuzungumza lugha tofauti.” "

Laura VecciaVaglieri.

Mustashrik wa Italia

Laura VecciaVaglieri.

kuunganisha mtandao(website)

kuunganisha blogi